Kidney Tonifying Capsule (Men)
Viungo:
Rhizoma Dioscoreae, Fructus Lycii, Radix Ginseng, Cornu Cervi Pantotrichum, Cortex Cinnamomi, Semen Euryales, Concha Ostreae. Flos Chrysanthemi
.
Kazi Na Faida Zake
- Kuzipa nguvu figo na kuboresha ufanyaji kazi ya kuchuja
- Kuondoa sumu zilizojazana ndani ya figo
- Kuboresha uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume
Yafaa Kwa:
- Wanaume wenye udhaifu wa kinga za mwili
- Wanaume wenye tatizo la ugumba lililosababishwa na kupungua nguvu ya figo
Maelezo Muhimu:
Mkondo Wa Figo (Kidney meridian at the viewpoint of TCM):
Figo huchukuliwa kuwa ni hifadhi kubwa kuliko zote ya nguvu muhimu za mwili na ndiyo sababu ikaitwa "The Minister of Power". Nguvu za mwanzo kabla ya kuzaliwa ambazo ndizo msingi wa maisha zinatunzwa ndani ya figo, sababu inayozifanya figo pia kuitwa chanzo cha maisha "The Root of Life". Kwa maono ya wachina, mkondo wa nguvu za mwili wa figo
unajumuisha tezi za adrenal ambazo hutoa aina nyingi ya homoni muhimu za kusimamia uvunjwaji na ujengaji wa wa mwili (metabolism), kutoa mabaki nje, kinga, ugumba na uzazi. Mkondo wa nguvu za mwili wa figo unaendelea kwenye eneo ambalo wachina huliita figo za nje; korodani kwa wanaume na ovari kwa wanawake. Kwa hiyo figo husimamia shughuli za tendo la ndoa na kuzaliana na kutoa nguvu ya mwanzo ya uwezo wa kufanya tendo la ndoa, ambao wachina huchukua kama ndio msingi wa afya na kinga za mwili.
Fructus Lycii:
Fructus Lycii inachukuliwa kuwa ni kiungo cha kipekee katika kuufanya mwili usizeeke haraka. Inaboresha uwezo wa kuona kwa kuboresha utendaji kazi wa ini na kuongeza uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume kwa kuzipa nguvu figo.
Rhizoma Dioscoreae:
Rhizoma dioscoreae inaundwa na mkusanyiko mkubwa wa virutubisho kama vitamini, tindikali za amino na madini. Imetumika na wachina kwa miaka mingi katika kusimamia uvunjaji wa mafuta. Polysaccharides zilizomo ndani ya Rhizoma Dioscoreae zinaweza kulinda seli za islet za kongosho zinazotengeneza insulin. Matumizi ya muda mrefu na utafiti wa kisasa vyote vimethibitisha kuwa Rhizoma Dioscoreae inaweza kuboresha kinga za mwili, kuzuia atherosclerosis, kuboresha ufanyaji kazi wa moyo na kupunguza kasi ya kuzeeka.
Radix Ginseng:
Radix ginseng inajulikana katika tamaduni za nchi za ulaya na za mashariki ya mbali kwa uwezo wake wa kipekee wa kuboresha kinga za mwili na kuongeza stamina ya mwili.
.
Concha Ostreae:
Concha osteae ina tindikali za amino 18, vitamini B complex, taurine, calcium, phosphorus, chuma, zinc, n.k. Imekuwa ikitumika kama jani la kuongeza nguvu za kufanya tendo la ndoa kwa wanaume na vile vile kuzipa nguvu figo ili ziweze kutunza nguvu ya muhimu ya mwili.
<<<<< MWANZO